MAAJABU ya PYRAMID: MTANZANIA ASIMULIA ALIYOYAONA - UJUZI ULIOTUMIKA KUYAJENGA BADO ni KITENDAWILI..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-03-04
Просмотров: 8951
Описание:
MAAJABU ya PYRAMID: MTANZANIA ASIMULIA ALIYOYAONA - UJUZI ULIOTUMIKA KUYAJENGA BADO ni KITENDAWILI..
Tanzania kwa hakika tunapiga hatua kubwa sana katika kuboresha miundo mbinu yetu na kujitangaza kama nchi kimataifa .unaweza kuona jinsi mama Samia anavyofanya kazi kubwa ya kuhamasisha watalii kuja kutalii nchini.
WANASEMA TEMBEA UYAONE TEMBEA UJIFUNZE
Nilipata bahati ya kutembelea piramidi za misri hakika nikapata mengi ya kujifunza nilipofika mji mkuu wa misri cairo alianza ofisa wa uhamiaji kunipq namba ya rafiki yake mwenye kampuni ya utalii,akanipa bei ya dola 100 kutembelea piramidi za misri.
Kitu hiki kilinifanya nijifunze kitu nakutamani ingekuwa hivyo pia Tanzania yaani mgeni akishuka uwanja wa ndege tu apewe huduma kama hii inawezekana tukaongeza idadi kubwa ya watalii kuja nchini.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: