AJALI YA COASTER NA FUSO, KADHAA WANUSURIKA KIFO
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-03-03
Просмотров: 3614
Описание:
Watu kadhaa wamenusulika kupoteza maisha mara baada ya gari ya abilia aina ya Coaster yenye namba za usajiri T 857 CSK, ikitokea Msata Bagamoyo, kuelekea Bunju Sokoni jijini Dar es Salaam, kugongana na lori aina ya Fuso, katika eneo la EPZD, barabara ya Bagamoyo, mkoani Pwani.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: