KITAELEWEKA! MAANDAMANO YA KITAIFA KUFANYIKA TANZANIA
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2024-08-05
Просмотров: 88872
Описание:
Vijana nchini Tanzania wakiongozwa na Deusdedith Soka, wametangaza maandamano ya kitaifa iyanayotarajiwa kufanyika Agosti 26, 2024. Moja ya sababu za maandamano ni watu kutekwa na wenye mamlaka wanatoa kauli za kuudhi badala ya kutoa kauli za kukemea pamoja na sababu ugumu wa maisha.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: