Vita vya mashariki ya kati vyazidi kupamba moto. Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 48658
Описание:
Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa watu sita wamefariki baada ya ndege ya mafuta kuanguka magharibi mwa Iraq. Waziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amesema Marekani "imeangamiza wajeshi wa utawala wa Iran wenye msimamo mkali, kwa njia ambayo dunia haijawahi kuiona".
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: