TABIA MUHIMU KUWA NAZO ILI KUISHI KAMA MWANAMKE FEMININE, Jinsi ya kutembea kifeminine.
Автор: ULIMWENGU WA UFEMININE
Загружено: 2025-10-26
Просмотров: 5427
Описание:
Leo tunazungumza kuhusu micro habits ndogo ndogo ambazo zikifanywa kila siku, ambazo zinaweza kukuunganisha zaidi na feminine energy yako — jinsi ya kuwa soft, calm, confident, na radiant bila kujiforce.
Utaelewa pia namna ya kutembea kama mwanamke feminine, kwa Amani, confidence & presence. Hizi ni tabia ndogo lakini zenye nguvu kubwa sana katika kubadilisha namna unavyojihisi na jinsi watu wanavyokuchukulia.
Kumbuka: Feminine energy ni kuhusu flow, elegance, na upendo kwa mwili wako.
Angalia hadi mwisho ujifunze hatua ndogo za kufanya kila siku kuishi kwa softness na confidence yako halisi
Bidhaa zote zilizopo kwenye video zinapatikana kwenye FeminineGlow instagram
0624360829 📞 /whatsApp ili kujiunga na group pia kuwasiliana na mimi private
#ulimwenguwaufeminine #feminineenergy #microhabits
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: