FOBY ATAMANI ALIKIBA, LINAH SANGA WASHIRIKI WIMBO WA TAIFA STARS / KUHUSU ZUCHU...
Автор: TBC 2
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 46
Описание:
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Foby ameeleza hisia zake juu ya kuwashirikisha Alikiba na Linah Sanga katika wimbo wa Taifa stars ambao utatumika katika michuano ya AFCON mwaka 2027 ambapo mwenyeji atakuwa Tanzania, Kenya na Uganda.
Foby ni msanii aliejibebea umaarufu mkubwa baada ya kuwa bega kwa bega na timu ya Taifa na hata wimbo wake kuchaguliwa kuwa wimbo ambao utatumika na Taifa stars kwaajili ya hamasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: