Walter Chilambo-Mwaka (official audio visual )Sms 'Skiza 8021203' To 811
Автор: Walter Chilambo
Загружено: 2024-12-04
Просмотров: 126239
Описание:
#mwaka #walterchilambo #gospelmusic
Wimbo huu ukawe Baraka kwa kila mmoja ambaye amepata Neema ya kuwa HAI,ukafurahie utukufu wa Mungu na kumpa sifa na heshima,wimbo unaitwa Mwaka.
.
MWAKA LYRICS
Intro
Naumaliza Mwaka hivyo
Na nauanza mwaka huo ×2
Jamani mwaka huo
Jamani mwaka huo
Verse 1
Asante Mungu umenilinda
January to December
Umeniepusha na mengi hata sijafa
Kweli Mungu unanipenda
Niliomba kidogo umenipa.. VIKUBWA
Mi na mizigo yangu yote.. UMEBEBA
Japo wapo walonicheka baba
Wakati naanza plan za maisha wakanikatisha tamaa
Mungu si Selemani
Ona amenipa na mimi
Ukistaajabu ya Musa
Basi utayaona ya Firauni
Walifunga kushoto (walifunga kushoto)
Kafungua kulia (kafungua kulia)
Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)
Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)
CHORUS
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh ×2
Basi piga kelele / aaeehh aaeehh
Kama bado una hema we / aaeehh aaeehh
Wengi walitamani kuwa kama wewe / aaeehh aaeehh
Aaaeeehhh ..../aaeehh aaeeehhh
VERSE 2
Nimependelewa
kati ya walio hai nimehesabiwa
Na namshukuru Mungu
Kwa yote ..hata kwa yale hajayatenda aaaahhh
Kanipa Nyumba
Kanipa Gari,kanipa kazi
Kanipa ndoa,kanipa watoto
Amenipa amani,ameniheshimisha
Mungu si Selemani
Ona amenipa na mimi
Ukistaajabu ya Musa
Basi utayaona ya Firauni
Walifunga kushoto (walifunga kushoto)
Kafungua kulia (kafungua kulia)
Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)
Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)
CHORUS
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh ×2
Basi piga kelele / aaeehh aaeehh
Kama bado una hema we / aaeehh aaeehh
Wengi walitamani kuwa kama wewe / aaeehh aaeehh
Aaaeeehhh ..../aaeehh aaeeehhh
Jamani Mwaka huooo../aaeehh aaeehh
Unaisha na unaanza huo../aaeehh aaeehh
Sema Asante we kama mzima../aaeehh aaeehh
Kuna wengine hawapo tena../aaeehh aaeehh
WALTER CHILAMBO SONG WRITER
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: