TAZAMA UTAMBULISHO WA PAPA MPYA (POPE LEO XIV) -KARDINALI ROBERT PREVOST
Автор: JUVE MEDIA
Загружено: 2025-05-08
Просмотров: 18341
Описание: Kutoka kwenye bomba la Sistine,ambapo makadinali 133 wamekusanyika Mkeenye mkutano mkuu tangu Jumatano tarehe 7 Mei 2025,moshi mweupe ulitoka saa 12.07 jini huku kukiwa na shauku ya umati wa watu, karibu watu elfu 20, waliofika kwenye Uwanja wa Mtakatifu Petro kumkaribisha Papa mpya, wakipeperusha bendera kutoka sehemu mbalimbali za dunia,kutoka Hispania hadi Argentina, kutoka Hispania hadi Argentina. Milio ya kengele inasikika katika Uwanja huo, ishara ya furaha kwa uchaguzi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: