JENGA PAMOJA
Автор: DUKAHURU PODCAST
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 6
Описание:
Kujenga familia si mapenzi tu, ni pamoja na kuwa na mipango imara ya kifedha. 💍💰
Katika video hii tunazungumzia namna wachumba na wanandoa wanavyoweza kushirikiana kujenga uchumi wa pamoja, kuweka malengo, na kuandaa maisha ya vizazi vijavyo. 🤝🏽🏠
Jifunze nini cha kuzingatia kabla na baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kifedha ili familia iwe imara na yenye mafanikio ya kudumu. 📈✨
#UchumiWaFamilia #Maendeleo .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: