MORNING TRUMPET: Mwanafunzi bora kidato cha sita na siri ya mafanikio yake
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-07-15
Просмотров: 10400
Описание:
Satrumin Shirima ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na kuibuka kidedea kwa kuwa mwanafunzi bora mwaka 2019 katika mkoa wa Dar es Salaam.
Pamoja na kutokea shule ya kata, Temeke Sekondari, Satrumin amefanikiwa kuipeperusha bendera kwa kufanya vizuri. Ni ipi siri ya mafanikio yake? anaeleza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: