Kitu BAVICHA imemuahidi Rais Magufuli
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-06-21
Просмотров: 11789
Описание: Iikiwa ni siku mbili zimepita tangu TAKUKURU kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa ESCROW na IPTL ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakiipongeza hatua hiyo ya Serikali…leo June 21, 2017 Baraza la Vijana la CHADEMA ‘BAVICHA’ Taifa kupitia kwa Mwenyekiti wake Pastrobas Katambi wameuelezea mchakato huo na kutoa ahadi kwa Rais Magufuli akiwafikisha Mahakamani wote walioshiriki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: