MMTV LIVE PODCAST - YOUTH ON KNEES || 30 Oktoba 2024
Автор: Mwl. MKUMBO TV
Загружено: 2024-10-30
Просмотров: 193
Описание:
Huduma ya Nuru ni huduma isiyofungamana na dhehebu lolote yaan inahusisha watu wa madhehebu yote wanaokiri wokovu.
Ikiwa na msingi wake tangu 2008 na kuanzishwa rasmi Desemba 2013.
Huduma ya Nuru ina timu yenye watu 20 ndani yake ikiwa na viongozi watano. Ni huduma inayoendeshwa katika mtindo wa mafundisho ya Neno la Mungu yaan Huduma ya Ualimu.
“Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itang'aa toka gizani, ndiye aliyeng'aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.” 2 Wakorintho 4:6
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: