Dira ya Magatuzi: Changamoto za mpito wa gredi ya 10 Homa Bay
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 362
Описание:
Katika kaunti ya Homa Bay, hali ni ya kusiskitisha, ambapo umaskini na magonjwa yanatishia kuathiri kuvuruga masomo ya wanafunzi waliojiunga na gredi ya 10. Katika shule ya upili ya vijana ya Oriwo , baadhi ya wanafunzi walifika shuleni bila chochote, jambo linaloashiria hali halisi ya changamoto familia nyingi zisizojimudu zinakumbana nayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: