Jinsi Ya Kupika Futari Ya Mihogo,Magimbi Na Viazi Vitamu Ya Nazi// Mix cassava, sweet potatoes and
Автор: Miss Masao
Загружено: 2023-04-09
Просмотров: 5090
Описание:
Jinsi ya kupika ftari tamu ya magimbi, muhogo na viazi vitamu ya nazi.
Ftari hii ni nzuri sana haswa katika mwezi huu wa Ramadhani.
MAHITAJI
Mihogo 3 mikubwa
Viazi vitamu 4 vikubwa
Magimbi ya zambarau 2 makubwa
Nazi mbili kubwa
Karoti 1
Hoho 1
Kitunguu maji 1
Chumvi 1tbsp
PS:
tbsp- kijiko kikubwa
For inquiries
Instagram:missmasao
Email:[email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: