ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YATOA NOTISI KWA WAMILIKI WA VIWANJA 6,560 KULIPIA VIWANJA VYAO

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-12-29

Просмотров: 213

Описание: Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wamiliki wa viwanja 6,560 vilivyoko Mtumba na Kikombo kulipia viwanja vyao ndani ya 21 wakishindwa kufanya hivyo vitamilikishwa kwa watu wengine wenye uhitaji.

Aidha Halmashauri hiyo imesema wamiliki hao kushindwa kulipia viwanja hivyo kunaikwamisha Halmashauri hiyo kutekeleza bajeti yake ya kuhudumia wananchi kwa kuwa fedha nyingi zimekwama.

Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano serikalini wa Jiji la Dodoma, Denis Gondwe wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Jiji hilo.

Gondwe amesema viwanja vyote 6,560 vina thamani ya Sh55.3 bilioni ambapo vikikipwa kwa wakati vitasaidia kutekeleza miradi iliyopangwa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha wa jiji hilo.

"Hivi ni viwanja ambavyo wamiliki wake hawajavilipia kwa zaidi ya mwaka mmoja wakati notisi iliwataka kufanya malipo ndani ya siku 90. Kuna wengine ambao wamelipia kidogo na wengine hawalipi kabisa, tunatoa notisi ya siku 21 ili walipie viwanja vyao na wasipofanya hivyo watanyang'anywa na kupewa watu wengine wenye uhitaji," amesema Gondwe.

Video na Hamis Mniha

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YATOA NOTISI KWA WAMILIKI WA VIWANJA 6,560 KULIPIA VIWANJA VYAO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Free Tundu Lissu | Sikiliza Viongozi Wa Leo Wa CCM Wanavyofikira Watanzania Bado Ni Wajinga

Free Tundu Lissu | Sikiliza Viongozi Wa Leo Wa CCM Wanavyofikira Watanzania Bado Ni Wajinga

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Премьер-министр разгневан: «Весь клан RPC KAMATA должен заплатить деньги!»

Премьер-министр разгневан: «Весь клан RPC KAMATA должен заплатить деньги!»

MSIGWA AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU RELI YA TAZARA INAYODAIWA KUPEWA WACHINA

MSIGWA AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU RELI YA TAZARA INAYODAIWA KUPEWA WACHINA

Free Tundu Lissu | Sikiliza Viongozi Wa Leo Wa CCM Wanavyofikira Watanzania Bado Ni Wajinga

Free Tundu Lissu | Sikiliza Viongozi Wa Leo Wa CCM Wanavyofikira Watanzania Bado Ni Wajinga

GUMZO: RAIS SAMIA SATAKA LA KUJIUDHURU MADELEKA ATOBOA

GUMZO: RAIS SAMIA SATAKA LA KUJIUDHURU MADELEKA ATOBOA "AWEKA WAZI"

MAFURIKO, FURAHA YAGEUKA KILIO, AFA KWA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI, NYUMBA ZAZINGIRWA NA MAJI

MAFURIKO, FURAHA YAGEUKA KILIO, AFA KWA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI, NYUMBA ZAZINGIRWA NA MAJI

EATVSAA1: NAMNA MLINZI ALIVYOUAWA NA MAJAMBAZI KUUAWA

EATVSAA1: NAMNA MLINZI ALIVYOUAWA NA MAJAMBAZI KUUAWA

РУССКИЙ ХИЩНИК 2026, БОЕВИК БОМБА!!! -  ЯКУТСКИЙ СТРЕЛОК-  РУССКИЙ БОЕВИК НОВИНКА 2026

РУССКИЙ ХИЩНИК 2026, БОЕВИК БОМБА!!! - ЯКУТСКИЙ СТРЕЛОК- РУССКИЙ БОЕВИК НОВИНКА 2026

MTANZANIA ALIYETOROKA OMAN AFICHUA MAZITO - ''BOSI ANANIPA SAMBUSA MOJA - MAYAI ANAFICHA CHUMBANI''

MTANZANIA ALIYETOROKA OMAN AFICHUA MAZITO - ''BOSI ANANIPA SAMBUSA MOJA - MAYAI ANAFICHA CHUMBANI''

Самые УДИВИТЕЛЬНЫЕ Мосты в Мире

Самые УДИВИТЕЛЬНЫЕ Мосты в Мире

Метро Пхеньяна, Северная Корея (2024)

Метро Пхеньяна, Северная Корея (2024)

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

MMILIKI WA MABASI YA ESTER AJITOKEZA TANGU MABASI YAKE YACHOMWE / MWIGULU ATAJWA

MMILIKI WA MABASI YA ESTER AJITOKEZA TANGU MABASI YAKE YACHOMWE / MWIGULU ATAJWA

⚡Срочно! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ Пекина на

⚡Срочно! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ Пекина на "атаку" резиденции Путина! Кремль в УЖАСЕ от услышанного

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

Inside the Toothpaste Factory — From Animal Bones to Toothpaste | Full Process

Samia Atoroka Baada Ya Watanzania Kumwendea Tundu Lissu  Gerezani

Samia Atoroka Baada Ya Watanzania Kumwendea Tundu Lissu Gerezani

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]