Baada ya makataa ya siku 21 kuisha Timothy na Sarika sasa wako kwenye mikakati ya kufunga ndoa
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2014-08-25
Просмотров: 74045
Описание:
Makataa ya siku 21 kwa yeyote aliyekua anapinga ndoa ya kati ya Timothy Khamala na mpenzi wake mwenye asili ya kihindi Sarika Patel ilikamilika bila yeyote kujitokeza. Furaha iliwajaa Sarika na Khamala kutoka jamii ya wabukusu ambapo pia walituarifu wameanza mikakati ya kufunga ndoa.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: