Frank Chacha - Nina uhakika (Official Audio)
Автор: Frank Chacha
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 111
Описание:
Nakukaribisha kusikiliza Ep yangu iitwayo MWAKA HUU
Na hii ni nyimbo ya 5 katika hii EP
FRANK CHACHA - NINA UHAKIKA
VERSE 1
Kwanza niwape pole
Adui zangu
Ukinigusa mimi
Unagusa jicho la Mungu
Tena niwape habari
Watesi wangu
Mkishinada na mimi
Mnashindana na Mungu
BRIDGE
Kama unabisha bisha kamuulize goliath
Aliyepanga vita katikati ya israel
Oooh kipigo alikiona
Oooh kichapo alikipata
Eeeeh eeh
CHORUS
Sina mashaka na yeye
Yesu Yesu
Nina uhakika na yeye
Yesu Yesu
X2
VERSE 2
Si mnajua viwete kwa baba wanatembea
Si mnajua viziwi kwa baba wanasikia
Hakuna gumu kwake
Linaloshindikana
Hakuna zito kwake
Lisilo wezekana
Je ni nani
Ashindane na bwana
Je ni nani
Ashindane na Mungu
BRIDGE
Kama unabisha bisha kamuulize goliath
Aliyepanga vita katikati ya israel
Oooh kipigo alikiona
Oooh kichapo alikipata
Eeeeh eeh
CHORUS
Sina mashaka na yeye
Yesu Yesu
Nina uhakika na yeye
Yesu Yesu
X2
Produced by E MUSIC
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: