Utoaji Tuzo za Kitaaluma Shule za Sekondari Iringa 2026 | RC Kheri James akiwa Rasmi
Автор: Focus TV Tanzania
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 163
Описание:
Tukio Zima la Utoaji wa Tuzo za Kitaaluma Kwa Shule, walimu na Wanafunzi Shule za Sekondari Mkoa wa Iringa lililofanyika Februari 19, 2026 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Ifunda, Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
.................
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
#FocusTVTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: