Daway - Kaniacha (Official Audio)
Автор: Daway
Загружено: 2023-04-20
Просмотров: 24057
Описание:
#daway #rappersinger #wayboy
Audio produced by Chipaka Beats
Mixed by Mafeeling
Artwork by Tonnygraphix
Artist: Daway
Song: Kaniacha
Intro.. No no noo, mmmh naah aya ya yaya,
Verse 1
Nishafunga na kusali,
Imani ikadunda eenh,
Sikuishia hapo nikaongeza na njiazangu zingine,
Kwa waganga wa mbaali,
Safari nishafunga mie,
Nimroge anipende mimi asiwaze wengine,
Enh enh,
Kama ni majani mapenzi hayajaota kwangu,
Alidhania ataniafaidisha akinipenda mimi,
Na kwake sikomi japo kablock namba zangu,
Kanisusia, asipopokea, Napiga na nyingine,
Machoni nina machozi,
usoni nina simanzi,
Sijalala nina mwezi,
Ye mwenzangu hawazi,
Wapi wanauza vitanzi,
Mapenzi yananiudhi,
Kwake vigezo sijakidhi,
Ndo maana Kaniacha mimi, ayayah
Chorus, Kaniacha, Kaniacha,Kaniacha na ye ndo darling,
Kaniacha, Kaniacha, Kaniacha hii sio saawa,
Verse 2
Nakubalii aende,
Ila aendako akikutwa na ubaya,
Arudi kwangu,
Maana atanikuta nipo,
Ka mshale wa sekunde,
Kwangu dakika kapita vibaya,
Ahojiwe yeye endapo nikipatwa na kifo,
Oona,Kakitingisha kiberiti,
Kachoma miti,
Moyoni kanidelete,
Eti sifit,
Kanivisha uibilisi kwenye list sina baya yayah,
Mbaya zaidi nammiss hanitoki,
Mema yangu hakumbuki,
Katema shit,
Samaki kakata mshipi
Haikua riziki kiroho mbaya yayah,
Machoni nina machozi,
usoni nina simanzi,
Sijalala nina mwezi,
Ye mwenzangu hawazi,
Wapi wanauza vitanzi,
Mapenzi yananiudhi,
Kwake vigezo sijakidhi,
Ndo maana Kaniacha mimi, ayayah
Chorus, Kaniacha, olo lo lolo,
Kaniacha,huyu yuyu,
Kaniacha na ye ndo darling,
Taabani iii iiii
Kaniacha, aaanh anh
Kaniacha, aya ya ya yah
Kaniacha hii sio saawa,
Hii sio sawa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: