IRAN YATOA VIDEO ya AI IKIONESHA MASHAMBULIZI KWENYE MELI ya VITA ya MAREKANI - ONYO KALI 📍IRAN
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 9725
Описание:
IRAN YATOA VIDEO ya AI IKIONESHA MASHAMBULIZI KWENYE MELI ya VITA ya MAREKANI - ONYO KALI 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Iran kupitia Jeshi lake la Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetoa video iliyotengenezwa kwa teknolojia ya akili bandia (AI) inayoonyesha uharibifu mkubwa wa meli ya kivita ya Marekani, USS Abraham Lincoln, katika kile kinachoonekana kama shambulio la pamoja la makombora, droni na boti za kasi. Video hiyo, iliyosambazwa na vyombo vya habari vinavyohusishwa na IRGC, imeibua taharuki kimataifa, ikitafsiriwa kama ujumbe wa moja kwa moja kwa Marekani na washirika wake wa Ghuba.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: