Waumini wa kanisa la PAG Lokichar, Turkana Kusini watatiza ibada
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-03-21
Просмотров: 11413
Описание: Vurumai lilishuhudiwa katika kanisa la PAG Lokichar, Turkana kusini ambako ibada ya leo imekosa kuendelea kama ilivyo desturi. Hii ni baada ya waumini wa eneo hilo kufunga kanisa hilo kumzuia Askofu wao mkuu kuingia kanisani kumfurusha mchungaji. Na kama Cheboit Emmanuel anavyoarifu, ilimbidi askofu huyo kutorokea usalama wake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: