MCHUZI WA NYAMA JINSI YA KUPIKA ROSTI YA NYAMA YA MBUZI
Автор: laylat mapishi
Загружено: 2021-08-20
Просмотров: 8653
Описание:
Mahitaji
Nyama kiyasi chako
Vitungu maji viwili
Mbatata mbili za saizi
Vitungu swaumu na tanga wizi iliyo sagwa kijiko kimoja cha chakula
Mafuta ya kupika vijiko viwili
Kerot moja pilipili boga moja uzile kijiko kimoja kidogo mdalasini kijiko kidogo pilipili Manga bizari nyembamba masala curry powder tomato paste ndimu moja na pilipili ya kuasha ikiwa Uta penda
• JINSI YA KUPIKA MANDAZI MAHAMRI MALAINI SANA
Jinsi ya kupika mandazi Mahamri malaini sana
• jinsi ya kupika mchuzi wa pweza
Jinsi ya kupika mchuzi wa pweza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: