ELEWA MAJIRA YAKO(UNDERSTAND YOUR SEASON) || NDOTO TV LIVE SERVICE || REV PETER NJIHIA
Автор: NDOTO TV OFFICIAL ( REV PETER NJIHIA )
Загружено: 2026-01-18
Просмотров: 34
Описание:
Huu ni mwaka wa usaidizi wa Kiungu. Ni vyema kuelewa nyakati na majira ili Mungu anapokuja kukutembelea (Genesis 3:8-9) uweze kuelewa majira hayo na ukafaidika
Tafsiri ya ndoto yako ni uhuru wako. Jiunge nami sasa hiv ninapo kutafsria ndoto yako , huu ndio mwanzo wa mambo mapya maishani mwako, kwa familia, biashara , kazini, kifedha na katika kila eneo la maisha yako.
Ndoto zako si mashambulizi, mbali ni ufunuo wa matukio kwa maisha yako. Jiunge nasi kwenye NDOTO TV, tuma ndoto yako kama ujumbe kwa whatsapp no. +254706945821
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: