BELLE 9 Ashindwa Kujizuia, Amwaga Machozi Mazishi ya Masogange!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-04-23
Просмотров: 48015
Описание:
BELLE 9 Ashindwa Kujizuia na Amwaga Machozi Mazishi ya Masogange!
MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii kuupokea mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ ambao umewasili kijijini kwao kwa ajili ya mazishi
Mwili wa marehemu umewasili kijijini hapo na kuzikwa jioni ya leo April 23, 2018 baada ya jana kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.
Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS:http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visithttps://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Category
News & Politics
License
Standard YouTube License
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: