RC Shinyanga:Usiniharibie siku, maelezo umepata serikali ipi "RPC ondoka na huyu".
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2020-08-23
Просмотров: 8226
Описание:
#SHINYANGA
#RC_SHINYANGA.
Mkuu wa mkoa Shinyanga Bi.Zainab Telack ameagiza kukamatwa kwa Mkandarasi wa mkoa huo, Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama na Mjenzi wa jengo la hospitali ya halmashauri hiyo linalojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 600 kwa kosa la kukiuka agizo la serikali na kujenga jengo hilo chini ya kiwango na kuamuru jengo hilo kuvunjwa na kujengwa upya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: