Скачать
MORNING TRUMPET: Vikaragosi kuikomboa elimu ya awali Tanzania
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-16
Просмотров: 1594
Описание:
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imekamilisha uandaaji wa masomo ya kieletroniki yaliyoandaliwa kwa njia ya vikaragosi (Cartoon) kwa darasa la awamu ya kwanza.
Wachamuzi wanadai kwamba matumizi ya vikaragozi hivi yatakuwa mkombozi kwa wanafunzi Tanzania kwani tekinolojia hii itawawezesha wanafunzi kuelewa haraka na kwa wepesi zaidi, wasikilize zaidi.
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: