RC QUEEN SENDIGA "ASHANGAZA"AVAA SARE ZA SHULE
Автор: TZA MEDIA HUB
Загружено: 2024-08-14
Просмотров: 3677
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga amefanya ziara katika Shule ya Manyara Girls iliRCyopo Babati mkoani Manyara na kuwavutia wanafunzi na walimu baada ya Kufikia Shuleni hapo akiwa amevalia sare za shule hiyo.
Akizungumza na wanafunzi wa Shule hiyo amewataka kujituma kwa bidii katika masomo yao pindi wawapo Shuleni hapo na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kutatuwa changamoto mbalimbali zilizopo Shuleni hapo ikiwa ni pamoja na kumaliza Ujenzi wa Bwalo la chakula.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: