MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QURANI 2026 | MASJID JAAMIU ZINJIBAAR | RAMADHANI 1447H
Автор: IKHLA
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 293
Описание:
Karibu IKHLA Insights
Jiunge nasi katika Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’an yanayofanyika katika Masjid Jamiu Zanzibar, Jumapili Mwezi 11 Ramadhani 1447H (01/03/2026).
🕌 Mahali: Masjid Jamiu – Zanzibar
📅 Tarehe: 01 Machi 2026
⏰ Muda: Saa 2:00 Asubuhi hadi 7:00 Mchana
Mashindano haya yanawaleta pamoja wahifadhi wa Qur’an kutoka maeneo mbalimbali kwa lengo la kuenzi, kuhifadhi na kusambaza Neno la Allah ﷻ katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
📡 Mubashara kupitia:
• IKHLA Insights
• Riyadh Online TV
🔔 Bonyeza Subscribe
👍 Like
📤 Shiriki kwa wengine
Allah atujaalie Qur’an iwe nuru ya nyoyo zetu 🤲
#IKHLAInsights #Ramadhani1447 #QuranCompetition #Zanzibar #MasjidJamiu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: