KUTANA na BRIGEDIA JENERALI wa JESHI MWENYE SHEPU YAKE ALIYEGEUZA MTAZAMO KUHUSU WANAWAKE JESHINI…
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-01-09
Просмотров: 23820
Описание:
KUTANA na BRIGEDIA JENERALI wa JESHI MWENYE SHEPU YAKE ALIYEGEUZA MTAZAMO KUHUSU WANAWAKE JESHINI…
Brigedia Jenerali Charity Bainababo
#Charitybainababo
Jamani, si mara ya kwanza kusikia habari za wanajeshi, lakini mara nyingi picha inayojengeka vichwani ni ya watu wakakamavu, wenye misuli ya kutisha na sura zilizokauka na mateso ya mazoezi makali.
Lakini hebu shikilia breki, kuna jambo jipya hapa ambalo linatufunza kuwa hata jeshi linaweza kuwa na uzuri wa aina yake. Fikiria hivi: Brigedia Jenerali Charity Bainababo, mwanamke wa Uganda ambaye si tu kwamba ni kamanda wa jeshi, bali pia ni kivutio cha mitandao ya kijamii kwa uzuri wake na umbo lake la kuvutia.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: