A2. Ushirika Na Roho Mtakatifu | Mwalimu Huruma Gadi - 08.12.2022
Автор: Mwalimu Huruma Gadi
Загружено: 2022-12-07
Просмотров: 431
Описание:
Unapotumika kujenga nyumba ya Mungu maana yake wewe ni mkamilifu huna mapungufu ya aina yoyote, wewe ni safi, wewe ni mwenye haki, mtakatifu, hauna hatia wala mawaa mbele za Mungu. Hakuna marekebisho. Ufahamu huu ni muhimu sana katika kufanya ushirika na Roho Mtakatifu vinginevyo ibilisi atakuwa anakunyuka kila mara utakapokuwa ukisimama mbele za Mungu.
Ungependa kuungana na Mwalimu Huruma Gadi katika kuhakikisha Injili hii inafikia watu wengi:
CHANGIA GHARAMA ZA INJILI KATIKA RADIO HABARI MAALUM (97.7) NA RADIO NAKONDE.
CRDB BANK
ACCOUNT NUMBER:0112020439000
JINA LA ACCOUNT: HURUMA MATHEW GADI
AU
MPESA 0764500242
TIGOPESA 0673500242
AIRTEL MONEY 0789500242
JINA: HURUMA GADI
Mfuatilie Mwalimu Huruma Gadi:
Instagram: / mwalimuhurumagadi
Facebook: / mwalimuhurumagadi
Twitter: / mwalimuhurumagadi
Podcast: http://ow.ly/mwalimuhurumagadi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: