HUKUMU YA MAHAKAMA KUU TZ DHIDI YA BAKWATA, YALIWEKA HURU KANISA TZ
Автор: BAYYINAT DM TV
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 833
Описание:
Hukumu ya Kihistoria ya Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania-BAKWATA, inavuka mipaka ya wigo wa dini ya Kiislamu pekee na mwangwi wake kwenda hadi kwenye dini ya Kikristo. Suala la uchinjaji wa wanyama kwa ajili ya biashara na kitoweo limekuwa na ukakasi ambao kwa sehemu, hukumu hiyo inalitatua. Karibu tupate ufafanuzi
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: