MBCI TV TEMBEA KAUNTI
Автор: Jotham Son
Загружено: 2018-11-13
Просмотров: 210
Описание: Mtazamaji kwa wengi wa wanadamu ikiwemo mifugo na mimea hutegemea maji kwa uhai.Lakini cha kushangaza ni kwamba wakaazi wanaoishi katika kijiji cha Eburru kinachopatikana eneo bunge la Gilgil wameishi kwa kutegemea maji ya mvuke unaotoka ardhini.Hii leo katika makala ya Tembea Kaunti mwanahabari mwenza Jotham Son anatusimulia taswira kamili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: