Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane anaetishiwa maisha
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-02
Просмотров: 553970
Описание: Wakati Rais Magufuli akimaliza kuhutubia February 2 2017 ikiwa ni siku ya sheria ambapo maadhimisho yake yamefanyika katika viwanja vya Mahakama Ocean Road, Mama mmoja mkazi wa Tanga Sabaha Ally mjane mwenye watoto wawili alijitokeza mbele ya Rais Magufuli akiwa ameshika bango lenye maelezo na kutaka msaada kutoka kwa Rais katika matatizo aliyonayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: