NJIA ZA KUISHINDA HOFU YA KUKOSOLEWA SAID KASEGE
Автор: Said Kasege
Загружено: 2022-10-22
Просмотров: 31
Описание:
Video hii inaelezea namna ya kukabiliana na hofu ya kukosolewa.Watu wengi hupata huzuni,hasira na uchungu wanapokumbana na kadhia ya kusemwa vibaya au kukosolewa lakini kila tatizo huwa na ufumbuzi wake hivyo leo utapata ufumbuzi wa hofu ya kukosolewa.
pia unaweza kupata nakala ya vitabu vyangu nimeandika vitabu 7
1.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU
2.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE
3. MALEZI YA UBONGO KISAYANSI
4.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
5.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA
7.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: