JE, KUNA WANAFUNZI HAWAJAUMBWA NA AKILI ZA DARASANI? SIKILIZA UKWELI HUU
Автор: Safari Ya Elimu
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 9
Описание:
Wanafunzi wengi huamini kuwa hawajaumbwa na akili za darasani, lakini je, kauli hii ni ya kweli?
Katika video hii, tunaangalia kwa kina makosa 4 makubwa yanayowafanya wanafunzi wajione hawana uwezo wa kufaulu masomo yao.
Utajifunza:
✔️ Kwa nini kufeli hakumaanishi huna akili
✔️ Makosa ya kawaida ya wanafunzi darasani
✔️ Jinsi ya kubadilisha mtazamo wako na kuboresha ufaulu
✔️ Ukweli kuhusu akili za darasani
Video hii ni kwa ajili ya:
🎓 Wanafunzi
👨👩👧 Wazazi
👩🏫 Walimu
📚 Wapenda elimu
Usijikatishe tamaa — elimu ni safari, sio mbio.
👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe tuapate kujifunza kwa pamoja mambo mbalimbali kuhusu safari ya elimu.
#safariyaelimu
#elimubora
#akili
#makosayakusoma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: