HII NI HASARA AU FAIDA UNADHANI ALIKOSEA WAPI????
Автор: Kilimosmartprojects KSP
Загружено: 2024-08-21
Просмотров: 1284
Описание:
Sifa kubwa ya Nyanya ya Bawito ni KUZAA, matunda yake n makubwa kama utahudumia vzr, magumu na yanaiva vzr. Mbegu haishambuliwi sana na magonjwa ila unapopanda tumia Trichoderma au Sumu yoyote ya kuua minyoo fundo ( Nematodes). Kazi yetu ni kukuuzia Miche na kuhakikisha Miche inafanya vzr shambani kupitia teknolojia ya umwagiliaji.
Tunafunga mfumo wa umwagiliaji kwa gharama nafuu. Miche yote ya Nyanya inapatikana. Pia tunakupa program maalumu itakayokuongoza kufanikisha kilimo chako.
Ushauri ni bure tupigie
Tupo UNUNIO - DSM
Mawasiliano: +255 767 406 211
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: