IBADA YA KUINUKA KIUCHUMI - 22 FEB 2026
Автор: Nabii James Nyakia
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 144
Описание: Ibada ya Kuinuka Kiuchumi ni ibada maalum kwa watu wanaokabiliwa na changamoto za kiuchumi. Tunazungumzia kwa kina sababu zinazowafanya baadhi ya watu kubaki katika umaskini wakati wengine wanaendelea kupiga hatua, pamoja na namna ya kuvunja changamoto za kiuchumi kwa mtu binafsi, familia na hata ukoo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: