WAHALIFU WALIOCHOMA MOTO MAGARI DAR WANASAKWA - CHALAMILA AFUNGUKA - ''MADUKA YANA CAMERA''....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-11-07
Просмотров: 43572
Описание:
WAHALIFU WALIOCHOMA MOTO MAGARI DAR WANASAKWA - CHALAMILA AFUNGUKA - ''MADUKA YANA CAMERA''....
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaomba watu wote ambao malori yao yaliathiriwa katika vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba mwaka huu ikiwemo malori yaliyokuwa yamebeba mizigo na baadhi kuchomwa moto wafike katika maeneo husika kufuatilia mali zao.
Ameeleza kuwa mizigo iliyosalia imehifadhiwa kwa ushirikiano kati ya TRA, EWURA na Jeshi la Polisi, hivyo wamiliki wanashauriwa kufika katika eneo waliloelekezwa kwa kufuata utaratibu uliowekwa ili kukabidhiwa mali zao.
Aidha ameeleza, Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuhakikisha wote waliohusika na vurugu hizo wanachukuliwa hatua za kisheria.
Vilevile, kwa wale ambao hawajawaona ndugu zao tangu tukio hilo, wanahimizwa kufika katika vituo vya polisi kujua kama wanashikiliwa au kupata taarifa zaidi.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: