#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-06-02
Просмотров: 5072
Описание:
Kufuatia taarifa za kifo cha mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Kibabu Msese (26) mkazi wa Wilaya ya karatu mkoani Arusha anayedaiwa kuuawa na askari wa jeshi la polisi wilayani humo, Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha Acp Justine Masejo amekanusha taarifa hizo na kudai mtu huyo alikuwa mmoja ya waalifu walioshikiliwa na jeshi la polisi karatu na alizidiwa gafla kipindi anafanyiwa mahojiano.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: