RIPOTI YA AWALI YA UCHUNGUZI AJALI YA HELIKOPTA KENYA KUTOLEWA BAADA YA SIKU 30
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 435
Описание:
Idara ya uchunguzi wa ajali za ndege ya Kenya (AAID) imeanza kukusanya na kuhifadhi sehemu muhimu za mabaki ya ndege (helikopta), iliyoanguka na kuua watu 6 akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ng’eno imeanza uchunguzi rasmi ikifuata itifaki za kimataifa.
Hata hivyo ripoti iyo ya awali inatarajia kutolewa baada ya siku 30.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: