KILIO CHA MAJI YAIKUMBA LEPURKO MONDULI WANANCHI WAPASA SAUTI ZAO
Автор: Mtazame Kristo Tv
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 1322
Описание: Kijiji cha Lepurko Wilayani Monduli ni Kijiji pekee iliyonufaika na Mradi wa Bwawa la Kisasa, lakini hali imegeuka kuwa mbaya hii ni baada ya Bwawa hilo Tegemezi kukauka, wananchi wadai kukosa Tegemeo zaidi, Wananchi na Mashirika yaombwa msaada wa dharura #mtazamekristotv #maji #Monduli #lepurko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: