SHAJARA| Simulizi ya David anayeugua saratani ya koo na mkewe anayeugua saratani ya matiti [Part 3]
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 820
Описание:
David Maina anaugua saratani ya koo.
Elizabeth Waithera anaugua saratani ya matiti.
David anakula kwa kutumia mrija unaowekwa tumboni.
Elizabeth alikatwa titi baada ya kuathirika na saratani.
Ni mume na mke, wazazi wa watoto watano.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: