MWALUNENGE AHOJI KUFUNGIWA MARA KWA MARA UWANJA WA SOKOINE
Автор: MbeyaYetuOnlineTV
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 113
Описание:
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Ndg. Patrick Mwalunenge, amelalamikia uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kuufungia mara kwa mara Uwanja wa Sokoine licha ya kufanyiwa maboresho.
Amesema hatua hiyo inawanyima wananchi wa Mbeya burudani ya mpira pamoja na kuathiri fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara wadogo wanaotegemea mechi kubwa, hususan zinazohusisha timu za Simba SC na Young Africans S.C..
Mwalunenge ameitaka TFF kutoa maelezo ya wazi kuhusu sababu za kuendelea kuufungia uwanja huo ili kuondoa sintofahamu kwa wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: