VITUKO VYA MWANRI TABORA' KILA KAZI NA MARUPURUPU YAKE' WALIKULA UBWABWA WAKASHEREKEA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-11-11
Просмотров: 2733
Описание:
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri ambaye kwa sasa ni Balozi wa zao la Pamba nchini leo amezungumza na Wananchi wa Wilaya ya Igunga na kuendeleza Mbwembwe zake.
Mwanri anafahamika kwa umaarufu wake baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa huo kutokana na kutoa kauli tata jambo lililomfanya ajizolee umaarufu mkubwa.
Mwananchi Digital imekuletea Dakika 6 za nguvu za kile alichokiongea leo Novemba 11,2024 mkuu huyo wa mkoa wa zamani wa Tabora alipokuwa akizungumza na Wananchi
(Video na Johnson James)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: