KUMBE
Автор: Kilimosmartprojects KSP
Загружено: 2022-08-09
Просмотров: 15841
Описание:
Kutokana na uhalisia kwamba ardhi nyingi zimechoka sana sababu ya matumizi ya mbolea za viwandani, zinazopoteza uwezo halisia wa kuhifadhi virutubisho muhimu kwaajili ya ukuaji wa mmea.
Samadi ndiyo mbolea isiyoweza kuathiri udongo kwa namna yoyote
Tazama video hiyo ili kujua namna ya kuweka mbolea ya samadi shambani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: