Machafuko Mapya Yatokea Tana River
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2012-09-07
Просмотров: 3597
Описание: Watu 12 wameuawa katika mashambulizi mapya katika kijiji cha Chamwanamuma, eneo la Tana Delta, kaunti ya Tana River. Mashambulizi hayo, yanayodaiwa kuwa ya kulipiza kisasi, yametokea baada ya wiki kadhaa za utulivu katika kijiji cha Reketa, baada ya mashambulizi yaliyopelekea kuuwawa kwa zaidi ya watu hamsini. Nyumba 65 zimeteketezwa moto huku watu 11 wakipata majeraha. Aidha mashambulizi haya yametokea baada ya tahadhari kutolewa kuwa mapigano ya kulipiza kisasi yangezuka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: