KITAANI | VIUNGO VYA LAZIMA KWENYE KUTIA UDHU [OFFICIAL VIDEO]
Автор: Ibrahim Zancom
Загружено: 2021-01-22
Просмотров: 2237
Описание:
Kwa mara nyengine tena,tunarudi KITAANI kuuliza suala muhimu sana lengo na madhumuni kujua ni kiasi gani uislamu unajuilikana kwa watu walioko mitaani.
Leo tunaenda kuulizia, VIUNGO VYA FARADHI KWENYE KUTIA UDHU??
Kila mmoja atatoa mawazo na maoni yake kutokana na ufahamu na uwelewa wake kwa kupitia muongozo wa dini yetu ya KIISLAMU.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: