IBADA: NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - 8 MARCH 2026
Автор: Nabii James Nyakia
Загружено: 2026-03-08
Просмотров: 266
Описание:
Ni ibada inaolenga kuweka wazi mambo yaliyofichika yanayosababisha maumivu, mateso au changamoto katika maisha ya mtu. Kufichua sababu za ndani au za kiroho zinazoleta huzuni, majeraha ya moyo au vikwazo, Kutambua na kukiri mambo yaliyosababisha maumivu ili kuanza safari ya uponyaji, Kuomba au kutafuta msaada wa Mungu ili kuondoa mizizi ya matatizo yanayoumiza na Kuweka wazi siri, mizigo au hali zilizokuwa zikimtesa mtu kimya kimya.
Kwa kifupi, ni ibada inayolenga ufunuo, ukweli na uponyaji wa mambo yaliyokuwa yakiumiza kwa muda mrefu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: