IBRAAH Azidi Kung'ara Bila KONDE GANG: Hizi Hapa Nyimbo Zake Bora Kabisa!
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-05-17
Просмотров: 4123
Описание:
Baada ya kuondoka rasmi kwenye lebo ya Konde Gang iliyoongozwa na Harmonize, msanii Ibraah ameendelea kutamba kwenye anga la muziki wa Bongo Fleva. Katika video hii, tunakuletea nyimbo 10 bora za Ibraah zilizotazamwa zaidi kwenye YouTube – kuanzia zile za mapenzi hadi zile zilizotikisa vichwa vya habari!
Tunaangazia kila wimbo kwa undani: mwaka ulipotoka, producer, director, na mafanikio yake. Je, ni wimbo gani umeingia nafasi ya kwanza? Tazama hadi mwisho ujue!
Ibraah 2024 | Nyimbo Bora za Ibraah | Bongo Fleva Top 10 | Ibraah Copy & Paste | Harmonize vs Ibraah | Muziki wa Tanzania
#Ibraah #BongoFleva #NyimboBora #Top10Ibraah #KondeGang #CopyAndPaste #TanzaniaMusic #MuzikiWaBongo #MizukaMedia #EastAfricaMusic #Harmonize
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: