ATUKUZWE BABA | E.Kalluh
Автор: Fridolinus B. Mushobozi
Загружено: 2025-06-05
Просмотров: 23760
Описание:
Ndugu yangu katika kristo karibu tuendelee kufurahia ala za muziki mtakatifu, ikiwa leo nakuletea moja ya tungo tamu sana kutoka kwa mtunzi nguli wa muziki mtakatifu wa Kanisa.
Wimbo: Atukuzwe Baba
Mtunzi: E.Kalluh
Organist: Eng. Fridolinus Boniphace Mushobozi
Audio & Video: Holy trinity studios
Sound Engineer : Fabian Mutayoba.
karibu, bila kusahau ku- Subscribe, share, Like na comment.
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: